Mathayo 20:18
Mathayo 20:18 Biblia Habari Njema (BHN)
“Sikilizeni! Tunakwenda Yerusalemu, na huko Mwana wa Mtu atakabidhiwa kwa makuhani wakuu na waalimu wa sheria, nao watamhukumu auawe.
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalieni, tunapanda kwenda Yerusalemu; na Mwana wa Adamu atatiwa mikononi mwa wakuu wa makuhani na waandishi; nao watamhukumu afe
Shirikisha
Soma Mathayo 20