Mathayo 20:16
Mathayo 20:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akamaliza kwa kusema, “Hivyo, walio wa mwisho watakuwa wa kwanza na wa kwanza watakuwa wa mwisho.”
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Vivyo hivyo wa mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza watakuwa wa mwisho.
Shirikisha
Soma Mathayo 20