Mathayo 20:15
Mathayo 20:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, sina haki ya kufanya na mali yangu nipendavyo? Je, unaona kijicho kwa kuwa mimi ni mwema?’”
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?
Shirikisha
Soma Mathayo 20