Mathayo 20:13
Mathayo 20:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akamjibu mmoja wao, akamwambia, Rafiki, sikudhulumu; hukupatana nami kwa dinari?
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:13 Biblia Habari Njema (BHN)
“Hapo yule bwana akamjibu mmoja wao, ‘Rafiki, sikukupunja kitu! Je, hukupatana nami mshahara wa dinari moja?
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akamjibu mmoja wao, akamwambia, Rafiki, sikudhulumu; hukupatana nami kwa dinari?
Shirikisha
Soma Mathayo 20