Mathayo 20:12
Mathayo 20:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakasema, ‘Watu hawa walioajiriwa mwisho walifanya kazi kwa muda wa saa moja tu, mbona umetutendea sawa na wao hali sisi tumevumilia kazi ngumu kutwa na jua kali?’
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wakisema, Hao wa mwisho wamefanya kazi saa moja tu, nawe umewasawazisha na sisi tuliostahimili taabu na joto la mchana kutwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 20