Mathayo 20:1
Mathayo 20:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ufalme wa mbinguni unafanana na mtu mwenye shamba la mizabibu, ambaye alitoka asubuhi na mapema kuwaajiri wafanyakazi katika shamba lake.
Shirikisha
Soma Mathayo 20Mathayo 20:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana ufalme wa mbinguni unafanana na mtu aliyetoka alfajiri kwenda kuwaajiri wafanya kazi awapeleke katika shamba lake la mizabibu.
Shirikisha
Soma Mathayo 20