Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 2:9 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 2:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Baada ya kumsikiliza mfalme, hao wataalamu wa nyota wakaenda. Kumbe ile nyota waliyokuwa wameiona upande wa mashariki iliwatangulia hata ikaenda kusimama juu ya mahali pale alipokuwa mtoto.

Shirikisha
Mathayo 2 BHN

Mathayo 2:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Nao waliposikia maneno ya mfalme, walishika njia; na tazama, ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, hata ikaenda ikasimama juu ya mahali alipokuwapo mtoto.

Shirikisha
Mathayo 2 SUV

Mathayo 2:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Nao waliposikia maneno ya mfalme, walishika njia; na tazama, ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, mpaka iliposimama juu ya mahali alipokuwapo mtoto.

Shirikisha
Mathayo 2 SRUV

Mathayo 2:9 NEN (Neno)

Baada ya kumsikia mfalme, wale wataalamu wa nyota wakaenda zao, nayo ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, nao wakaifuata hadi iliposimama mahali alipokuwa mtoto.

Shirikisha
Mathayo 2 NEN