Mathayo 2:19 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 2:19 BHN (Biblia Habari Njema)
Baada ya kifo cha Herode, malaika wa Bwana alimtokea Yosefu katika ndoto kule Misri
Mathayo 2:19 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata alipofariki Herode, tazama, malaika wa Bwana alimtokea Yusufu katika ndoto huko Misri
Mathayo 2:19 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Herode alipofariki, tazama, malaika wa Bwana alimtokea Yusufu katika ndoto huko Misri
Mathayo 2:19 NEN (Neno)
Baada ya Herode kufa, malaika wa Bwana akamtokea Yusufu katika ndoto huko Misri