Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 2:14 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 2:14 BHN (Biblia Habari Njema)

Hivyo, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akaondoka usiku, akaenda Misri.

Shirikisha
Mathayo 2 BHN

Mathayo 2:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake usiku, akaenda zake Misri

Shirikisha
Mathayo 2 SUV

Mathayo 2:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake usiku, akaenda zake Misri

Shirikisha
Mathayo 2 SRUV

Mathayo 2:14 NEN (Neno)

Kisha Yusufu akaamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake wakati wa usiku, nao wakaenda Misri

Shirikisha
Mathayo 2 NEN