Mathayo 19:5
Mathayo 19:5 Biblia Habari Njema (BHN)
na akasema: ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?’
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
Shirikisha
Soma Mathayo 19