Mathayo 19:4 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 19:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Yesu akawajibu, “Je, hamkusoma katika Maandiko Matakatifu kwamba Mungu aliyemuumba mtu tangu mwanzo alimfanya mwanamume na mwanamke
Shirikisha
Mathayo 19 BHNMathayo 19:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke
Shirikisha
Mathayo 19 SUVMathayo 19:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mwanamume na mwanamke
Shirikisha
Mathayo 19 SRUVMathayo 19:4 NEN (Neno)
Akawajibu, “Je, hamkusoma kwamba hapo mwanzo Muumba aliwaumba mwanaume na mwanamke
Shirikisha
Mathayo 19 NEN