Mathayo 19:22
Mathayo 19:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Huyo kijana aliposikia hayo, akaenda zake akiwa mwenye huzuni, maana alikuwa na mali nyingi.
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yule kijana alipolisikia neno lile, akaenda zake kwa huzuni; kwa sababu alikuwa na mali nyingi.
Shirikisha
Soma Mathayo 19