Mathayo 19:13
Mathayo 19:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha watu wakamletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono na kuwaombea. Lakini wanafunzi wakawakemea.
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo akaletewa watoto wadogo ili aweke mikono yake juu yao na kuwaombea; wanafunzi wake wakawakemea.
Shirikisha
Soma Mathayo 19