Mathayo 19:1
Mathayo 19:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo, akatoka Galilaya akafika mipaka ya Uyahudi, ng’ambo ya Yordani.
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, alitoka Galilaya, akaenda Yudea, ngambo ya mto Yordani.
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo, akatoka Galilaya akafika katika eneo la Yudea, ng'ambo ya Yordani.
Shirikisha
Soma Mathayo 19