Mathayo 18:4
Mathayo 18:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeyote anayejinyenyekesha kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkubwa katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, yeyote ajinyenyekezaye mwenyewe kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi, ye yote ajinyenyekeshaye mwenyewe kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18