Mathayo 18:3-4
Mathayo 18:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
kisha akasema, “Nawaambieni kweli, msipogeuka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni. Yeyote anayejinyenyekesha kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkubwa katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni. Basi, yeyote ajinyenyekezaye mwenyewe kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni. Basi, ye yote ajinyenyekeshaye mwenyewe kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18