Mathayo 18:24
Mathayo 18:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Ukaguzi ulipoanza, akaletewa mtu mmoja aliyekuwa na deni la fedha talanta 10,000.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Alipoanza kuifanya, aliletewa mtu mmoja mwenye deni la talanta elfu kumi.
Shirikisha
Soma Mathayo 18