Mathayo 18:21
Mathayo 18:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Petro akamwendea Yesu, akamwuliza, “Je, ndugu yangu akinikosea, nimsamehe mara ngapi? Mara saba?”
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba?
Shirikisha
Soma Mathayo 18