Mathayo 18:20
Mathayo 18:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maana popote pale wanapokusanyika wawili au watatu kwa jina langu, mimi nipo hapo kati yao.”
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.
Shirikisha
Soma Mathayo 18