Mathayo 18:16
Mathayo 18:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Asipokusikia, chukua mtu mmoja au wawili pamoja nawe, ili kwa mawaidha ya mashahidi wawili au watatu, kila tatizo litatuliwe.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
La, kama hasikii, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike.
Shirikisha
Soma Mathayo 18