Mathayo 18:10-11
Mathayo 18:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
“Jihadharini! Msimdharau mmojawapo wa wadogo hawa. Nawaambieni, malaika wao huko mbinguni wako daima mbele ya Baba yangu aliye mbinguni. [ Maana Mwana wa Mtu alikuja kuwaokoa wale waliopotea.] (Taz Luka 19:10).
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalieni msidharau mmojawapo wa wadogo hawa; kwa maana nawaambia ya kwamba malaika wao mbinguni siku zote huutazama uso wa Baba yangu aliye mbinguni. [ Kwa maana Mwana wa Adamu alikuja kukiokoa kilichopotea.]
Shirikisha
Soma Mathayo 18