Mathayo 18:10
Mathayo 18:10 Biblia Habari Njema (BHN)
“Jihadharini! Msimdharau mmojawapo wa wadogo hawa. Nawaambieni, malaika wao huko mbinguni wako daima mbele ya Baba yangu aliye mbinguni. [
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalieni msidharau mmojawapo wa wadogo hawa; kwa maana nawaambia ya kwamba malaika wao mbinguni siku zote huutazama uso wa Baba yangu aliye mbinguni. [
Shirikisha
Soma Mathayo 18