Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 17:22 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 17:22 BHN (Biblia Habari Njema)

Walipokuwa pamoja huko Galilaya, Yesu aliwaambia, “Mwana wa Mtu atakabidhiwa kwa watu.

Shirikisha
Mathayo 17 BHN

Mathayo 17:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Nao walipokuwa wakikaa Galilaya, Yesu akawaambia, Mwana wa Adamu anakwenda kutiwa katika mikono ya watu, nao watamwua, na siku ya tatu atafufuka.

Shirikisha
Mathayo 17 SUV

Mathayo 17:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Nao walipokuwa wakikaa Galilaya, Yesu akawaambia, Mwana wa Adamu anakwenda kutiwa katika mikono ya watu, nao watamwua, na siku ya tatu atafufuka.

Shirikisha
Mathayo 17 SRUV

Mathayo 17:22 NEN (Neno)

Siku moja walipokuwa pamoja huko Galilaya, Yesu akawaambia, “Mwana wa Adamu atasalitiwa na kutiwa mikononi mwa watu.

Shirikisha
Mathayo 17 NEN