Rukia hadi maudhui

Mathayo 17:12 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 17:12 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini nawaambieni, Elia amekwisha kuja nao hawakumtambua, bali walimtendea jinsi walivyotaka. Mwana wa Mtu atateswa vivyo hivyo mikononi mwao.”

Mathayo 17 BHN

Mathayo 17:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

ila nawaambia, ya kwamba Eliya amekwisha kuja, wasimtambue, lakini wakamtenda yote waliyotaka. Vivyo hivyo Mwana wa Adamu naye yuaenda kuteswa kwao.

Mathayo 17 SUV

Mathayo 17:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)

ila nawaambia, ya kwamba Eliya amekwisha kuja, wasimtambue, lakini wakamtenda yote waliyotaka. Vivyo hivyo Mwana wa Adamu naye yuaenda kuteswa kwao.

Mathayo 17 SRUV

Mathayo 17:12 NEN (Neno)

Lakini nawaambia, Eliya amekwisha kuja, nao hawakumtambua, bali walimtendea kila kitu walichotaka. Vivyo hivyo Mwana wa Adamu pia atateswa mikononi mwao.”

Mathayo 17 NEN