Mathayo 16:9 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 16:9 BHN (Biblia Habari Njema)
Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu 5,000? Je, mlijaza vikapu vingapi vya mabaki?
Mathayo 16:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hamjafahamu bado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale elfu tano, na vikapu vingapi mlivyoviokota?
Mathayo 16:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hamjafahamu bado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale elfu tano, na vikapu vingapi mlivyoviokota?
Mathayo 16:9 NEN (Neno)
Je, bado hamwelewi? Je, hamkumbuki ile mikate mitano kwa watu elfu tano, na idadi ya vikapu vilivyojaa mabaki mlivyokusanya?