Mathayo 16:5 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 16:5 BHN (Biblia Habari Njema)
Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate.
Shirikisha
Mathayo 16 BHNMathayo 16:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wanafunzi wakaenda hata ng’ambo, wakasahau kuchukua mikate.
Shirikisha
Mathayo 16 SUVMathayo 16:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Nao wanafunzi wakaenda hadi ng'ambo, wakasahau kuchukua mikate.
Shirikisha
Mathayo 16 SRUVMathayo 16:5 NEN (Neno)
Wanafunzi wake walipofika ngʼambo ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate.
Shirikisha
Mathayo 16 NEN