Mathayo 16:14 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 16:14 BHN (Biblia Habari Njema)
Wakamjibu, “Wengine wanasema kuwa ni Yohane Mbatizaji, wengine Elia, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.”
Mathayo 16:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.
Mathayo 16:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.
Mathayo 16:14 NEN (Neno)
Wakamjibu, “Baadhi husema ni Yohana Mbatizaji; wengine husema ni Eliya; na bado wengine husema ni Yeremia au mmoja wa manabii.”