Rukia hadi maudhui

Mathayo 16:13 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 16:13 BHN (Biblia Habari Njema)

Yesu alipofika pande za Kaisarea Filipi, aliwauliza wanafunzi wake, “Watu wanasema Mwana wa Mtu kuwa ni nani?”

Mathayo 16 BHN

Mathayo 16:13 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani?

Mathayo 16 SUV

Mathayo 16:13 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani?

Mathayo 16 SRUV

Mathayo 16:13 NEN (Neno)

Basi Yesu alipofika katika eneo la Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake, “Watu husema kwamba mimi Mwana wa Adamu ni nani?”

Mathayo 16 NEN