Mathayo 15:7-8
Mathayo 15:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu: ‘Mungu asema: Watu hawa huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Enyi wanafiki, ni vema alivyotabiri Isaya kwa habari zenu, akisema, Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami.
Shirikisha
Soma Mathayo 15