Mathayo 15:4
Mathayo 15:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa Mungu alisema, Mheshimu baba yako na mama yako, na Amtukanaye baba yake au mama yake kufa na afe.
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu amesema: ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na ‘Anayemtukana baba yake au mama yake, lazima auawe.’
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa Mungu alisema, Mheshimu baba yako na mama yako, na Amtukanaye baba yake au mama yake kufa na afe.
Shirikisha
Soma Mathayo 15