Mathayo 15:38-39
Mathayo 15:38-39 Biblia Habari Njema (BHN)
Hao waliokula walikuwa wanaume 4,000, bila kuhesabu wanawake na watoto. Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani.
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:38-39 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto. Akawaaga makutano, akapanda katika mashua, akaenda pande za Magadani.
Shirikisha
Soma Mathayo 15