Mathayo 15:33
Mathayo 15:33 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Wanafunzi wake wakasema, “Tutapata wapi mikate ya kutosha kulisha umati mkubwa namna hii, nasi tuko nyikani?”
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Wanafunzi wakamwambia, “Hapa tuko nyikani; tutapata wapi chakula cha kuwatosha watu wengi hivi?”
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wanafunzi wake wakamwambia, Tupate wapi mikate mingi hapa nyikani, hata kushibisha mkutano mkuu namna hii?
Shirikisha
Soma Mathayo 15