Mathayo 15:28
Mathayo 15:28 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Ndipo Yesu akamwambia, “Mwanamke, imani yako ni kubwa! Iwe kwako kama unavyotaka.” Naye binti yake akapona tangu saa ile.
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Yesu akamjibu, “Mama, imani yako ni kubwa; basi, ufanyiwe kama unavyotaka.” Yule binti yake akapona wakati huohuo.
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
Shirikisha
Soma Mathayo 15