Mathayo 15:17-18
Mathayo 15:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutolewa nje chooni? Lakini mambo yatokayo kinywani hutoka moyoni, na hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi.
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni? Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi.
Shirikisha
Soma Mathayo 15