Mathayo 15:16-17
Mathayo 15:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akasema, “Hata nyinyi hamwelewi? Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutolewa nje chooni?
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akasema, Hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? Hamjafahamu bado ya kuwa kila kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?
Shirikisha
Soma Mathayo 15