Mathayo 15:14
Mathayo 15:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Waacheni wenyewe! Wao ni vipofu, viongozi wa vipofu; na kipofu akimwongoza kipofu, wote wawili hutumbukia shimoni.”
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.
Shirikisha
Soma Mathayo 15