Mathayo 14:7 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 14:7 BHN (Biblia Habari Njema)
hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba.
Shirikisha
Mathayo 14 BHNMathayo 14:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata akaahidi kwa kiapo ya kwamba atampa lo lote atakaloliomba.
Shirikisha
Mathayo 14 SUVMathayo 14:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hata akaahidi kwa kiapo ya kwamba atampa lolote atakaloliomba.
Shirikisha
Mathayo 14 SRUVMathayo 14:7 NEN (Neno)
kiasi kwamba aliahidi kwa kiapo kumpa huyo binti chochote angeomba.
Shirikisha
Mathayo 14 NEN