Mathayo 14:36 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 14:36 BHN (Biblia Habari Njema)
wakamwomba awaruhusu waguse tu pindo la vazi lake. Nao wote waliomgusa walipona.
Mathayo 14:36 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao wakamsihi waguse hata pindo la vazi lake tu; na wote waliogusa wakaponywa kabisa.
Mathayo 14:36 SRUV (Swahili Revised Union Version)
nao wakamsihi waguse hata pindo la vazi lake tu; na wote waliogusa wakaponywa kabisa.
Mathayo 14:36 NEN (Neno)
wakamsihi awaruhusu wagonjwa waguse tu pindo la vazi lake, nao wote waliomgusa, wakaponywa.