Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 14:3 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 14:3 BHN (Biblia Habari Njema)

Herode ndiye aliyekuwa amemtia Yohane nguvuni, akamfunga minyororo na kumtia gerezani kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo, ndugu yake.

Shirikisha
Mathayo 14 BHN

Mathayo 14:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Maana Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga, akamtia gerezani, kwa ajili ya Herodia, mke wa Filipo nduguye.

Shirikisha
Mathayo 14 SUV

Mathayo 14:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Maana Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga, akamtia gerezani, kwa ajili ya Herodia, mke wa Filipo nduguye.

Shirikisha
Mathayo 14 SRUV

Mathayo 14:3 NEN (Neno)

Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga na kumweka gerezani kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo, ndugu yake

Shirikisha
Mathayo 14 NEN