Mathayo 14:28 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 14:28 BHN (Biblia Habari Njema)
Petro akamwambia, “Bwana, ikiwa ni wewe kweli, amuru nitembee juu ya maji nije kwako.”
Shirikisha
Mathayo 14 BHNMathayo 14:28 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji.
Shirikisha
Mathayo 14 SUVMathayo 14:28 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji.
Shirikisha
Mathayo 14 SRUVMathayo 14:28 NEN (Neno)
Petro akamjibu, “Bwana, ikiwa ni wewe, niambie nije kwako nikitembea juu ya maji.”
Shirikisha
Mathayo 14 NEN