Rukia hadi maudhui

Mathayo 14:12 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 14:12 BHN (Biblia Habari Njema)

Wanafunzi wa Yohane wakaja, wakauchukua mwili wake, wakauzika. Kisha wakaenda kumpasha habari Yesu.

Mathayo 14 BHN

Mathayo 14:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wanafunzi wake wakaenda, wakamchukua yule maiti, wakamzika; kisha wakaenda wakampasha Yesu habari.

Mathayo 14 SUV

Mathayo 14:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wanafunzi wake wakaenda, wakamchukua yule maiti, wakamzika; kisha wakaenda wakampasha Yesu habari.

Mathayo 14 SRUV

Mathayo 14:12 NEN (Neno)

Wanafunzi wa Yohana wakaja na kuuchukua mwili wake, wakamzika. Kisha wakaenda wakamwambia Yesu.

Mathayo 14 NEN