Mathayo 14:10 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 14:10 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, Herode akatuma mtu gerezani amkate kichwa Yohane.
Mathayo 14:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akatuma mtu, akamkata kichwa Yohana mle gerezani.
Mathayo 14:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)
akatuma mtu, akamkata kichwa Yohana mle gerezani.