Rukia hadi maudhui

Mathayo 14:1 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 14:1 BHN (Biblia Habari Njema)

Wakati huo, mtawala Herode alisikia sifa za Yesu.

Mathayo 14 BHN

Mathayo 14:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakati ule mfalme Herode alisikia habari za Yesu, akawaambia watumishi wake

Mathayo 14 SUV

Mathayo 14:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakati ule mfalme Herode alisikia habari za Yesu, akawaambia watumishi wake

Mathayo 14 SRUV

Mathayo 14:1 NEN (Neno)

Wakati huo, Mfalme Herode, mtawala wa Galilaya, alisikia habari za Yesu

Mathayo 14 NEN