Mathayo 13:54 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 13:54 BHN (Biblia Habari Njema)
akaenda kijijini kwake. Huko akawa anawafundisha watu katika sunagogi lao hata wakashangaa, wakasema, “Huyu amepata wapi hekima hii na maajabu?
Mathayo 13:54 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alipofika nchi yake, akawafundisha katika sinagogi lao, hata wakashangaa, wakasema, Huyu amepata wapi hekima hii na miujiza hii?
Mathayo 13:54 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na alipofika mji wa kwao, akawafundisha katika sinagogi lao, hata wakashangaa, wakasema, Huyu amepata wapi hekima hii na miujiza hii?
Mathayo 13:54 NEN (Neno)
Alipofika mji wa kwao, akawafundisha watu katika sinagogi lao. Nao wakastaajabu, wakauliza, “Mtu huyu amepata wapi hekima hii na uwezo huu wa kufanya miujiza?