Mathayo 13:52 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 13:52 BHN (Biblia Habari Njema)
Naye akawaambia, “Hivyo basi, kila mwalimu wa sheria anayekuwa mwanafunzi wa ufalme wa mbinguni anafanana na mwenye nyumba atoaye katika hazina yake vitu vipya na vya kale.”
Shirikisha
Mathayo 13 BHNMathayo 13:52 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Kwa sababu hiyo, kila mwandishi mwenye elimu ya ufalme wa mbinguni amefanana na mtu mwenye nyumba atoaye katika hazina yake vitu vipya na vya kale.
Shirikisha
Mathayo 13 SUVMathayo 13:52 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Kwa sababu hiyo, kila mwandishi mwenye elimu ya ufalme wa mbinguni amefanana na mtu mwenye nyumba atoaye katika hazina yake vitu vipya na vya kale.
Shirikisha
Mathayo 13 SRUVMathayo 13:52 NEN (Neno)
Akawaambia, “Basi kila mwalimu wa sheria aliyefundishwa elimu ya ufalme wa mbinguni ni kama mwenye nyumba anayetoa kutoka ghala yake mali mpya na mali ya zamani.”
Shirikisha
Mathayo 13 NEN