Mathayo 13:51 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 13:51 BHN (Biblia Habari Njema)
Yesu akawauliza, “Je, mmeelewa mambo haya yote?” Wakamjibu, “Naam.”
Mathayo 13:51 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu aliwauliza, Mmeyafahamu hayo yote? Wakamwambia, Naam.
Mathayo 13:51 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Yesu aliwauliza, Mmeyafahamu hayo yote? Wakamwambia, Naam.
Mathayo 13:51 NEN (Neno)
Yesu akauliza, “Je, mmeyaelewa haya yote?” Wakamjibu, “Ndiyo.”