Mathayo 13:46 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 13:46 BHN (Biblia Habari Njema)
Alipopata lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda, akauza yote aliyokuwa nayo, akainunua lulu ile.
Shirikisha
Mathayo 13 BHNMathayo 13:46 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye alipoona lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda akauza alivyo navyo vyote, akainunua.
Shirikisha
Mathayo 13 SUVMathayo 13:46 SRUV (Swahili Revised Union Version)
naye alipoona lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda akauza alivyo navyo vyote, akainunua.
Shirikisha
Mathayo 13 SRUVMathayo 13:46 NEN (Neno)
Alipoipata lulu moja ya thamani kubwa, alienda akauza vyote alivyokuwa navyo akainunua.
Shirikisha
Mathayo 13 NEN