Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 13:41 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 13:41 BHN (Biblia Habari Njema)

Mwana wa Mtu atawatuma malaika wake wawakusanye kutoka katika ufalme wake wale wote wenye kusababisha dhambi, na wote wenye kutenda maovu

Shirikisha
Mathayo 13 BHN

Mathayo 13:41 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Mwana wa Adamu atawatuma malaika zake, nao watakusanya kutoka katika ufalme wake machukizo yote, na hao watendao maasi

Shirikisha
Mathayo 13 SUV

Mathayo 13:41 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Mwana wa Adamu atawatuma malaika wake, nao watakusanya kutoka katika ufalme wake machukizo yote, na hao watendao maasi

Shirikisha
Mathayo 13 SRUV

Mathayo 13:41 NEN (Neno)

Mwana wa Adamu atawatuma malaika wake, nao watakusanya kutoka ufalme wake kila kitu kinachosababisha dhambi na watenda maovu wote.

Shirikisha
Mathayo 13 NEN