Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 13:40 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 13:40 BHN (Biblia Habari Njema)

Kama vile magugu yanavyokusanywa na kuchomwa moto, ndivyo itakavyokuwa mwishoni mwa nyakati

Shirikisha
Mathayo 13 BHN

Mathayo 13:40 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi, kama vile magugu yakusanywavyo na kuchomwa motoni; ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia.

Shirikisha
Mathayo 13 SUV

Mathayo 13:40 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi, kama vile magugu yakusanywavyo na kuchomwa motoni; ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia.

Shirikisha
Mathayo 13 SRUV

Mathayo 13:40 NEN (Neno)

“Kama vile magugu yangʼolewavyo na kuchomwa motoni, ndivyo itakavyokuwa wakati wa mwisho wa dunia.

Shirikisha
Mathayo 13 NEN