Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Mathayo 13:36 - Linganisha Matoleo Yote

Mathayo 13:36 BHN (Biblia Habari Njema)

Kisha Yesu aliwaaga wale watu, akaingia nyumbani. Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwambia, “Tufafanulie ule mfano wa magugu shambani.”

Shirikisha
Mathayo 13 BHN

Mathayo 13:36 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kisha Yesu akawaaga makutano, akaingia nyumbani; wanafunzi wake wakamwendea, wakasema, Tufafanulie mfano wa magugu ya kondeni.

Shirikisha
Mathayo 13 SUV

Mathayo 13:36 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kisha Yesu akawaaga makutano, akaingia katika nyumba; wanafunzi wake wakamwendea, wakasema, Tufafanulie mfano wa magugu ya shambani.

Shirikisha
Mathayo 13 SRUV

Mathayo 13:36 NEN (Neno)

Kisha Yesu akaagana na ule umati, akaingia nyumbani. Wanafunzi wake wakamjia wakamwambia, “Tueleze maana ya ule mfano wa magugu shambani.”

Shirikisha
Mathayo 13 NEN